Majuto fox
Member
- Mar 5, 2018
- 12
- 1
mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26 nko katika chuo kikuu cha SUA hapa morogoro nasoma BSc. with education geography and biology. Niko mwaka wa tatu natarajia kumaliza mwaka huu shahada yangu ya kwanza.
NI matumaini yangu kutafta nafasi ya kufundisha katika shule za private. Ningependa kufundisha somo la biology either full time katika shule yoyote ya private. Naamini humu JF kuna wadau tofauti tofauti wenye kujua wap naweza anzia ili kufanya kazi amabao naipenda ya kufundisha wanafunz wa o'level and A'level .
Nitangulize shukrani kwa wadau wote wa JF