Msaada wenu jamani.

Msaada wenu jamani.

kangalo

Member
Joined
Nov 27, 2012
Posts
18
Reaction score
1
Natumia simu ya sumsung galaxy S2 kuna mtu akipigiwa cmu kwa namba yake zinaingia kwangu halafu mwangu inaniandikia "call forwaded" huku inaita je, nawezaje kuondoa ttz hilo ili simu iwe kama mwanzo.
 
Chukua simu ya huyo mtu au Sim card yake kisha nenda settings, call divert au call foward, voice calls kisha utaona sehemu imeandikwa cancel all. NB. Inategemeana na aina ya simu
 
Back
Top Bottom