GANG MO JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 2,124 Reaction score 2,271 May 17, 2019 #1 Habari za majukumu wadau. Tangu juzi najaribu kufungua website ya jeshi la polisi kwa kutumia simu naona haifunguki na kuniandikia hvi. Naombeni kujua kama kuna tatizo au nimekosea
Habari za majukumu wadau. Tangu juzi najaribu kufungua website ya jeshi la polisi kwa kutumia simu naona haifunguki na kuniandikia hvi. Naombeni kujua kama kuna tatizo au nimekosea
Wambie Wasikie Member Joined Mar 6, 2019 Posts 70 Reaction score 71 May 19, 2019 #2 Achana nayo fanya mambo mengine