Methyl phenol
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 184
- 282
Kama heading inavyojieleza nimechukua tv flat screen aina ya star X 32 inches few monthes ago ni mpya full box na haina shda yeyote mpaka sasa
Shda iliyokuja kujitokeza n kwamba juzi kati apa nimechukua sound system nmekuja ku connect tv na subwoofer ngoma hamna nkanunua nyaya zngne still zkagoma
Nkarudi dukan kwa jamaa nkaulizia coz warranty na kila kitu nnacho
Jamaa kanambia version mpya za star x hazina direct connection na subwoofer unless utumie king’amuzi kama source
Wakuu nlikua naomba kama naeza pata mautundu may be kuna nyaya rather than izo two in one, au io two in two ku connect au device nyengne ambayo naeza tumia
Loged out