CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
-
- #21
Hellow....
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???
Dada H C/O charminglady!!!!!
deodorant atumie Brut si kwamba haina harufu, harufu ipo ila ya chini sana,,pafyum atumie Kenzo Amour ya wanaume au Issey Miyake no 1. zina harufu ya chini sana haiwez kumuumiza. pole, nimependa coz unamjal mpenz wako,. good, si kumkimbia na kusema ana kikwapa deal nacho mama
Hellow....
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???
Dada H C/O charminglady!!!!!
kabla ya hapo ya wewe kuonana na kuwa wapenzi alikuwa anatumia nini?na je ulimkuta akiwa bikira hata shule alikuwa ananuka kikwapa
Hellow....
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???
Dada H C/O charminglady!!!!!
Hellow....
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???
Dada H C/O charminglady!!!!!
Hellow....
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???
Dada H C/O charminglady!!!!!
kumbe mpezi!! nilifikiri mumeo achana naye tafuta mme wa kukuoa mwishowe soda itamaliza gesi baada ya hapo haitafaa kitu.
Na hili joto la dar mtu asipopaka deodorant utamkimbia.... Anakuwa na harufu kama beberu!!!
Hellow....
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???
Dada H C/O charminglady!!!!!
If you don't mind naomba ufafanue hizo dawa zako zinavyofanya kazi.kwakuwa ana allergy na hizo harufu mimi kuna njia mbadala ambayo naifahamu hiyo husaidia kupunguza kama sio kuiondoa harufu ya jasho
Ni hivi baada ya kupika ugali ile sufuria aliyopikia ailoweke na maji masafi kwa muda wa masaa 24 kisha yale maji anawie sehemu za makwapani lakini ahakikishe msitu wa saohill umefyekwa anaweza akafanya hivyo kwa muda wa siku tatu
au maganda ya limao ajisugue nayo sehemu za makwapani nayo pia husaidia kuondoa harufu ya jasho kali
NB:Ni muhimu kufyeka msitu maana nieona baadhi ya wanaume hawapendi kufyeka misitu yao
kwanza kabisa naomba ujue hivi hizi sio dawa zangu na mimi nilisoma mahaliIf you don't mind naomba ufafanue hizo dawa zako zinavyofanya kazi.
Hapo kwenye blue anaweza kuvumilia kunuka ukoko wa ugali kwa siku tatu, that is fine baada ya hapo inakuaje? kadhalika kwenye maganda ya limao.
Zipo deodorant ambazo hazina harufu, bora angenunua hizo.
Pia inasemekana kuna baadhi ya vyakula vinaongeza harufu ya kwapa, angejaribu kujifanyia research.
Body shops hazina tatizo kiafya na hazina allergy
duuh! una mpenzi naww?
atumie ndimu..au limao..kama vipi...Hellow....
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???
Dada H C/O charminglady!!!!!
tatizo siyo harufu kali ya pafyum ,tatizo litakuwa kuna contents zinazokuwa kwenye hiyo pafyum ndiyo inamletea hayo matatizo..... cha muhimu ni ajaribu products mbalimbali kwa kadri awezavyo mpaka apate ambayo haitamdhuru na zaid asipendelee cheap products.
note; inaweza ikawa siyo allergy ,bali ni irritation inayoletwa na manukato ya aina fulani.
atumie ndimu..au limao..kama vipi...