tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,193
- 29,751
Ni binti wa kimasikini hatamani tena kuishi.
Anashindwa kuendelea na masomo japo amechaguliwa computer science UDOM kwa level ya diploma.
Alisoma CBG na alipata div III ana D moja kitu kilichopelekea asiombe level ya bachelor kwani hana D ya pili
Sasa amepata diploma UDOM ada 900,000,na pia nursing Sengerema ada 200,000 hii kubwa sn.
Tunaomba mawazo tufanye nini watu wa Mungu?Familia haijiwezi kabisa na huyu binti, ANALIA TU. Yani hajui afanye nini? Me ninajaribu kumtafuta mbunge wake ni wa huko Singida.
Kama kuna mtu atataka kuongea naye basi nitamuunganisha naye .
Nitalileta jimbo hapa mnisaidie mbunge wake ni nani?Msaidieni mtoto wa kike huyu please.
Asanteni.