Nilikuwa nang'oa tuDawa ya Jino ni kuling'oa tu,
Ulijaribu kufuatilia root cause inayo kusababishia matatizo ya meno? au ulikua una ng'oa tu na kusubiri lingine tena liume nalo ung'oe?
AsanteUkiwa unasukutua, usiwahi kutema lile povu la dawa ya meno, lizungushe mdomoni walau kwa dk 5 ndio uje kulitema.
Ukiwa unafanya hivyo, mara mbili au tatu kwa siku niamini mimi itakusaidia sana.
Sh ngapi hii?Ipo dawa nimetumia mwenyewe nipo poaView attachment 1720159
Mwombe mwenye iPhone apige picha mkuu.. inapatikana wapi sasa maana hapa nilipo nyama siwezi tafuna!Ipo dawa nimetumia mwenyewe nipo poaView attachment 1720159
Kama limetoboka shida huwa linahifadhi mabaki ya chakula na kinywa huwa kinanuka sana bora uende kwa wataalamu uzibwe ndio uendelee na hiyo dawa yako.Mwez ulioisha lilintesa sana
Limetoboka, kama bahati jamaa nliyekuwa naye ana jamaa yake mtaalam wa miti shamba ikiwemo ya jino....
Pole sana mkuu.Mwombe mwenye iPhone apige picha mkuu.. inapatikana wapi sasa maana hapa nilipo nyama siwezi tafuna!
IPHONE tena?hahaa pole sana nipigie nitakuelekeza 0755155782Mwombe mwenye iPhone apige picha mkuu.. inapatikana wapi sasa maana hapa nilipo nyama siwezi tafuna!
Ninayo dawa ya meno yaliyo oza,toboka yanayo Uma ,yanayotoa damu au usaha . Wasiliana Nami hutang'oa jinoAnayeijua dawa ya jino /meno mbali na kung'oa anisaidie maana nimeng'oa naona sasa yanaisha
Karibuni..
Haya mafuta yanapatikana wapi mkuuTafuta mafuta ya habat sauda Kisha chukua pamba safi,ichovye kwenye hayo mafuta then weka hiyo pamba yenye mafuta kwenye jino....nakupa dk 45 tu utasahau hayo maumivu.Faida nyingine ya haya mafuta ukiyapaka kwenye fizi zilizovimba haipiti dk ishirini utaona zile fizi zimepasuka na utahisi majimaji flan ya chumvi hv mdomoni kuashiria uvimbe umepasuka....hapo maumivu na Hilo jino na fizi kwisha habari yake Yan maumivu yanazima ghafla.Hii sijaambiwa ila nimethibitisha Mimi mwenyewe.Tafuta hayo mafuta mkuu.
Sawa ila haya maandishi madogo hayasomeki vizuri hata nikiyakuzaIpo dawa nimetumia mwenyewe nipo poaView attachment 1720159