karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,801
- 3,272
Habari za wakati huu
Kuna msaada wa haraka na ushauri unahitajika ili suluhisho lipatikane na tujue kipi cha kufanya.
Kuna wamama wawili walienda kuwapa chanjo watoto wao mtoto mmoja chanjo ya miezi 9 mwingine chanjo ya miezi 18.
Walipofika zahanati wakapata chanjo vizuri tena wakakutana na mwingine wakawa watatu watoto wakachanjwa.
Katika kujaza kadi hawa wamama wawili walioenda pamoja yule mwenye mtoto wa mwaka mmoja na nusu amejaziwa sawa tu, huyu mwenye mtoto wa miezi tisa amejaziwa kwenye mwaka mmoja na nusu.
Kwa maelezo ya mmoja wa hao wamama anasema wote walichoma kwa pamoja na anasema hakumuona kama mhudumu alibadilisha chupa ya dawa. Na mtoto wa kwanza kuchoma sindano ni huyu mwenye miezi 9.
Tangu wapate iyo chanjo hadi leo ni wiki tatu.
Sasa naomba kuuliza yafuatayo kwa niaba ya hao wamama wawili
~Kipi wafanye ili wagundue kama kweli hao watoto muuguzi alichanganya kuwapa chanjo ?
~Kuna madhara yoyote watoto wakichanganya kupata chanjo (kupata chanjo ya umri sio wake au kupata chanjo yake mara 2).
~Kama ikigundulika ni kweli walichanganya kuna njia ya kufanya kuwaokoa hao watoto ?
Kama kuna maswali ya ziada ili nitoe ufafanuzi unaweza kuuliza.