Msaada wataalamu wa Search engine optimization (seo)

Msaada wataalamu wa Search engine optimization (seo)

hashimrashidy

Senior Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
197
Reaction score
145
Habari za mda huu natafuta mtaalamu wa seo ambaye atakayefanya blog yangu ikawa inatokea kwenye search engine iwe page ya kwanza iwe ina shika namba moja au mbili au tatu kwa yeyote yule atakaye tafuta kitu kinacho husiana na blog yangu
 
ni almost impossible mkuu, unless una kitu unique sana. usitegemee neno lipo jf, millard ayo, wikipedia etc halafu yako itokee juu zaidi ya hao.
 
It's way too possible
1. tafuta backlinks zinasaidia kurank vizuri
2. amount ya traffic akiwazidi competitors wake ana chance
3, share content zako mitandao yakijamii
4. publish napena kabla ya competitors habari inayotrend
 
Back
Top Bottom