ukiwasha hata logo ya ps haitokei?
Maana kama inawaka ila inakataa kusoma game kwa flash unatakiwa ujaribu kueka cd uone kama itafanya kazi
na kama ni toka mwanzo ipo black haionesh hata logo make sure cable zipo connected vizuri jaribu kutumia cable nyengine (ya kutoka kwenye game kwenda kwenye tv)..