Nina kama miezi 6 hivi nilibadilisha ps2 yangu ikawa inatumia flash drive yaani McBoot lakin juzi mashine imekataa kufanya kazi.... Nikiwasha inaonesha black screen
Maana kama inawaka ila inakataa kusoma game kwa flash unatakiwa ujaribu kueka cd uone kama itafanya kazi
na kama ni toka mwanzo ipo black haionesh hata logo make sure cable zipo connected vizuri jaribu kutumia cable nyengine (ya kutoka kwenye game kwenda kwenye tv)..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.