swali lako halija eleweka vizuri
ila kuna hii switch ina itwa KVM switch una unganisha mashine kama nne au tatu na una zi control zote kwa kutumia screen mmoja mouse mmoja na keyboard moja zote hizo zina kuwa zime ungwa kwenye hiyo switch
pia kama shida ni ku access pc nyingine iliyo mbali/karibu unaweza tumia software ya team viewer. net yako tu iwe fresh