Msaada: wataalamu wa mashairi ya kiingereza

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,194
Kuna jambo mimi linanichanganya sana. Ukipewa shairi na kuulizwa type of the poem. Unaandika zile open na close poem au unaandika zile narrative poem, lyric poem, epic na mengineyo? Njmeulixa hv baada ya kumkuta mwalimu anawafundisha watoto kwamba type of poem is open form. Nijuavyo mimi open or close ni muundo (form) wa shairi sasa iweje iwe ni type. Naombeni nieleweshwe hapa labda nakosea mimi. Nawasilisha
 
Wewe uko sahihi.
 
Back
Top Bottom