Msaada: Wataalamu wa Linux.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,335
Reaction score
2,904
Habari wakuu,

Nataka kutengeneza bootable flash disk, OS ninayotaka kuifanya bootable ni Debian (Linux) na OS ninayotumia kwa sasa ni XP. Kuna tool moja nimeipata ya kuifanya flash disk iwe bootable ila tatizo linakuja kwenye hiyo iso image, maana hiyo tool inataka hilo file liwe kwenye format ya image wakati kwenye kuidownload inakuwa zip compressed file.

Tafadhali mtu anayejua namna ya kuitengeneza anisaidie, maana maelezo mengi ya kwenye google hayajanisaidia.
 
maana hiyo tool inataka hilo file liwe kwenye format ya image wakati kwenye kuidownload inakuwa zip compressed file.
  • Pata software ya ku_unzip hiyo file yako ili kupata ISO iliyo ndani, ndipo uweze kutumia tool yako, OK Kwanza download WINRAR toka hapa: FileHippo.com - Download Free Software
  • Baada ya kui_istall winrar, Right click hiyo zip file kisha chagua "extract here"
Nataka kutengeneza bootable flash disk, OS ninayotaka kuifanya bootable ni Debian (Linux) na OS ninayotumia kwa sasa ni XP.


Muonekano wake huu hapa
 

Nashukuru sana Kiongozi, jioni nikilejea home nitaemdelea na mchakato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…