Msaada: Wataalamu wa LCD TV pitia hapa

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Habari za saa hizi?

Naomba msaada kwa TV hii aina ni BAUHN model: ATV-19HED2 toleo la muAustralia.

Hii TV ina mwaka sasa tangu niinunue na kuanza kuitumia.

Tatizo ililonalo kwa sasa, power inaingia (red light) ila hairespond kuwa ON (blue light) iwe kwa kuswitch power ya remote au kwenye tv. Au kuna saa inakubali kuwa ON (blue light) ila screen still remain blank. Unaweza subiri hata masaa zaidi ya sita lakini wapi.

Mwezi mmoja uliopita ilikua inachelewa kuwaka hadi baada ya nusu saa hivi ndio inakubali ila siku hizi ndio imegoma kabisa.

Mwenye ufahamu kipi kifanyike hapa jamani.
 
Ww ni fundi wa tv tusaidiane nitakayokwambia ili ucheki ndani ya circuit
 
Kwa kweli mimi sio fundi ila maelezo nitayoyapata kwako nitayazingatia sana.

Ok unatakiwa uifungue kuna circuit ya power supply check capacitor ziko sawa kwa kuzipima maranyingi huwa hivyo kuna tv wafedale lcd 42" tatizo lilikuwa kama lako nikabadilisha hizo mpaka leo inafanya kazi upo dar au mkoa
 
Maumivu ya kichwa yakizidi muone Daktari.
 
Nipo mkoa kaka. Ngoja nijaribu kwa hilo ndg yangu.
 
Maumivu ya kichwa yakizidi muone Daktari.

Madaktari (fundi) wengi wa huku ni majanga. Wamewahi kuniulia home theater yangu, tatizo lilikua dogo tu accodingly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…