Msaada wataalamu wa humu

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,392
Reaction score
7,863
Naomba msaada wa ili bonanza anae lijulia maana kila nikijalibu napigwa za kichwa kama kuna mtaalamu tulijegeje msaada.


 
Msaada Ni kuachana nalo tu la sivyo litakufilisi au utalibomoa ufungwe
 
Haya madude yametapakaaa mitaani kibao mikoa mingi watu wanapigwa za uso na hamna kitu watafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…