Bi nyakomba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 385 Reaction score 104 Jun 12, 2013 #1 habari ya leo JF members. Naomba msaada, jinsi ya kurudisha colour ya TV wakati dvd ina play. Mwanzo ilikua na rangi vzr tu. Ila nashangaa kila cd nikiweka inaonyesha black n white. Thanx in adv
habari ya leo JF members. Naomba msaada, jinsi ya kurudisha colour ya TV wakati dvd ina play. Mwanzo ilikua na rangi vzr tu. Ila nashangaa kila cd nikiweka inaonyesha black n white. Thanx in adv
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Jun 12, 2013 #2 TV gani? kwanini maelezo hayakamiliki? unataka tuwe waganga wa kienyeji?
Bi nyakomba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 385 Reaction score 104 Jun 12, 2013 Thread starter #3 asante kwa ulienisaidia thru Pm barikiwa sana