msaada wataalam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wataalam

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by RICH OIL SHEIKH, Jun 19, 2012.

 1. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Modem yangu ya vodacom nikiweka katika laptop yangu hadi juzi ilikuwa inapiga kazi safi kabisa lakini sasaivi inaload vizuri mpaka kufikia hatua ya mesej ya ku connect lakini nikijaribu ku connect ina search sana na mwishowe inaleta meseji hii; Mobile connection not possible. Ensure no other applications are using your selected device, and try again in a hort while. lakini hata nikijaribu baada ya mda inaleta msg hiyo hiyo. Nikiweka katika computer/laptop ingine inapiga kazi bomba kabisa, Naombeni msaada wenu wataalam nifanyaje kumaliza tatizo hili.
   
 2. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Unatumia model na dashboard gani?
   
 3. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Modem ni K3570 Z iliyochakachuliwa, dashboard ni ya Voda ingawa kuna mda nilikuwa natumia join air lakini nili uninstall
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  jaribu ku uninstall hiyo dash board then restart afu uinstall tena..
   
Loading...