Msaada! Wataalam wa Setilite dishes

Msaada! Wataalam wa Setilite dishes

Christa

Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Ninahitaji kununua dish'Eurostar inch 6' ili kufurahia huduma ya digital bila malipo, je linafaa au kuna aina nyingine nzur zaid? Pia niangalie vitu gan bora kwenye receiver na lnb?
 
Ni zuri, ila kuna feki hayakawii kubanduka rangi na kupata kutu, ukipata la Gulf Star itakuwa vizuri zaidi, Chamsingi zingatia Ubora. Pia ya futi 6 kuna baadhi ya Channel zinasumbua kama TBC, CH 10 pamoja na Star TV kwa baadhi ya Maeneo sijui wewe upo Wapi. Lakini ukitaka ufurahie ulimwengu wa FTA ukipata Dish la Futi 8 (hasa la Nyavu) na kuendelea, utapenda. Kuhusu LNB, nunua C-Band moja yenye 777 ni nzuri au 888 na 999 Gulf star pamoja na KU Band 2 kama unaitaji Chanel Nyingi Zaidi. Kuhusu Istallation, Tafuta Fundi. Kuhusu Receiver wengi tunatumia MediaCom 930 MPG2, ila Kuna za kisasa ambazo zinauwezo wa kufungua Scrambled Channel, tafuta Arisat Ar600 na Ar1000 MPG4 lakini si rahisi kuzipata, ukishindwa tafuta receiver yoyote hata Strong lakini iwe MPG4 ni vizuri ukapata maelezo kwa Wauzaji kwani nyingine husumbua istallation zake.
 
Hakuna dish la inch 6 bali kuna dish la futi 6.Kama ukilibahatisha hata hilo la eurostar orijino la futi sita litazidaka hizo channel ulizoambiwa zinasumbua,pia risiva tafuta WIZ TECH-999 ina nguvu hasa kwa hizo tbc zinazozingua hata ikiwa na signal quality 2au3 inanasa pia inafungua channeli za SABC
 
Thanx kwa ushaur!Nipo Dodoma, nimetafuta ungo wa nyavu cjapata. Je kwa mikoa mingine gulf star unapatikana kwa sh.ngapi? Nitalijuaje dish fek?
 
Asante mkuu,nitalijuaje dish orijinal mana cjaona utofaut wa bei.
 
Thanx kwa ushaur!Nipo Dodoma, nimetafuta ungo wa nyavu cjapata. Je kwa mikoa mingine gulf star unapatikana kwa sh.ngapi? Nitalijuaje dish fek?

nakushauri nunua ungo wa kawaida wa ft 8 wa nyavu sio mzuri sana kama utaongezea na lnb za ku.
 
Thanx kwa ushaur!Nipo Dodoma, nimetafuta ungo wa nyavu cjapata. Je kwa mikoa mingine gulf star unapatikana kwa sh.ngapi? Nitalijuaje dish fek?

Kama upo Dodoma nenda City boys kama sijakosea pale Independecy kwenye mzunguko karibu na soko la Majengo, kama utaamua kununua wa kawida nunua wa futi 8 na kama wa nyavu hakikisha nyavu zake ni za alminium na zile chuma za kubebea ziwe za alminium yani lile Dish na nguzo zake zinazoshika ungo ni za chuma, hapo hutapata tatizo la channel kukatikakatika (signal weak) kwanza Dodoma hamna milima ni tambarare.
 
sawa mkuu!ntaenda kuangalia
 
Ninahitaji kununua dish'Eurostar inch 6' ili kufurahia huduma ya digital bila malipo, je linafaa au kuna aina nyingine nzur zaid? Pia niangalie vitu gan bora kwenye receiver na lnb?

umenifurahisha hapo kwenye inch 6...kama sahani
 
Ninahitaji kununua dish'Eurostar inch 6' ili kufurahia huduma ya digital bila malipo, je linafaa au kuna aina nyingine nzur zaid? Pia niangalie vitu gan bora kwenye receiver na lnb?

gharamika chukua ft 8 la nyavu na hutowah sumbka kutuita sisi hapa mafundi tukurekebishie.,
 
Kuna option nyengine pia cheki na mafundi wa mkoa wako lazima wanajua chocho zote za mji wako unaweza kuchongesha dish au uka chukua jipya shop niwewe tu
 
Mkuu angalia vizuri ametumia single quote maanake ni futi (6') angetumia double quote ingemaanisha inchi (6").
Safi sana mkuu. Huyo muanzisha uzi yuko sahihi wala hajakosea.
Kama ana mpango wa kunasa channels za Ku-band kwa kutumia dish la wavu,ahakikishe matundu yake hayazidi 4mm, vinginevyo signal za Ku-Band high-band zitasumbua unasaji wake maana sehemu kubwa zitakuwa zinapenya kwenye hayo matundu kwa ajili nishati kubwa iliyoko kwenye hizo signal; hivyo zinakuwa na uwezo mkubwa wa kupenya.
 
Hakuna dish la inch 6 bali kuna dish la futi 6.Kama ukilibahatisha hata hilo la eurostar orijino la futi sita litazidaka hizo channel ulizoambiwa zinasumbua,pia risiva tafuta WIZ TECH-999 ina nguvu hasa kwa hizo tbc zinazozingua hata ikiwa na signal quality 2au3 inanasa pia inafungua channeli za SABC

Mkuu hizi channel za SABC nasikia kwa sasa wame-encrypt na hazipatikani nje ya SA kwenye FTA receivers, je kuna ujanja wowote wa kuweza kuzifungua ?
 
Safi sana mkuu. Huyo muanzisha uzi yuko sahihi wala hajakosea. Kama ana mpango wa kunasa channels za Ku-band kwa kutumia dish la wavu,ahakikishe matundu yake hayazidi 4mm, vinginevyo signal za Ku-Band high-band zitasumbua unasaji wake maana sehemu kubwa zitakuwa zinapenya kwenye hayo matundu kwa ajili nishati kubwa iliyoko kwenye hizo signal; hivyo zinakuwa na uwezo mkubwa wa kupenya.
Mkuu nishati inayotoka kwenye geostationary satellite ya umbali wa maili zaidi ya 23,000(elfu ishirini na tatu) kutoka aridhini ni ndogo sana hiko in term of Microwatts/Microvolts, hivyo kusema zinaweza kupenyeza kwenye matundu kutokana ukubwa wa nishati, hiyo si kweli mkuu! Ungesema matundu yasiwe chini ya kiwango cha wavelengh ya KU-BAND ningekuelewa, and that has nothing to do with Power generated by satellite transponders. CHEERS.
 
Na kuhusu KU aina gani ndiyo nzuri isiyopoteza signal mara kwa mara maana hizi za tsh 8000 zinaniumiza kichwa.
 
Back
Top Bottom