Hospital hawawezi kucheka kwasababu hakipo kinachochekesha hapoMwanaume wa darisalama akichomwa na mwiba lazima umsumbue 😄😄
Ukienda hospital watakutoa ila ukiondoka watacheka kinoma
SawaTafuta mafuta ya mgando (ya kujipaka) weka donge dogo unapohisi mwiba uliingilia kisha tafuta mkaa wa moto anza kuchochea hapo hapo kwenye kidonda!! Dakika 2 mbili nyingi mwiba unajichomoa!!!
NB: KUNA MAUMIVU KIDOGO, SO JIANDAE KUYAVUMILIA
KWA jinsi anavyoonekana hii huduma labda afanyiwe na mtu mwingne kwa usimamiz maalumu mana maumivu yake nayajua..Tafuta mafuta ya mgando (ya kujipaka) weka donge dogo unapohisi mwiba uliingilia kisha tafuta mkaa wa moto anza kuchochea hapo hapo kwenye kidonda!! Dakika 2 mbili nyingi mwiba unajichomoa!!!
NB: KUNA MAUMIVU KIDOGO, SO JIANDAE KUYAVUMILIA
Uache utunge usaha siku pakiiva ukibinya unapanda hapo speed hatariHeshima kwenu wakuu.
Nimechomwa na mwiba mguuni kwenye unyayo. Nimejitahidi kuutafuta ili niutoe nimeshindwa kuubani. Maumivu makali sana. Leo ni siku ya 3.
Ni wapi nitapata wataalam waubaini kisha utolewe? Yaelekea ni mwiba mdogo sana maana siuoni lakini nauhisi kutokana na maumivu ninayoyapata.
Naombeni msaada.
DuhUache utunge usaha siku pakiiva ukibinya unapanda hapo speed hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Watacheka sababu utakuta madatari wana miaka zaidi ya kumi kazini hawajawahi kukutana na hicho kituHospital hawawezi kucheka kwasababu hakipo kinachochekesha hapo
Huyo mleta mada anaonekana ni muoga sana..hii huduma hatoiweza.Tafuta mafuta ya mgando (ya kujipaka) weka donge dogo unapohisi mwiba uliingilia kisha tafuta mkaa wa moto anza kuchochea hapo hapo kwenye kidonda!! Dakika 2 mbili nyingi mwiba unajichomoa!!!
NB: KUNA MAUMIVU KIDOGO, SO JIANDAE KUYAVUMILIA
Yes hii mbinu tumeitumia sana.Tafuta mafuta ya mgando (ya kujipaka) weka donge dogo unapohisi mwiba uliingilia kisha tafuta mkaa wa moto anza kuchochea hapo hapo kwenye kidonda!! Dakika 2 mbili nyingi mwiba unajichomoa!!!
NB: KUNA MAUMIVU KIDOGO, SO JIANDAE KUYAVUMILIA
Vipi ulifanikiwa?!?Sawa