msaada: wataalam wa graphic designing

msaada: wataalam wa graphic designing

daisyvicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
343
Reaction score
198
wakuu..kuna mambo nahitaji kueleweshwa kuhusu kutengeneza matangazo..naomba mtu mwenye ujuzi huu anisaidie..nataka kudesign tangazo la gazeti..tv na la internet and i dont know even where to start..msaada
 
mkuu hua mambo hayaendi hivyo. from hujui hadi hapo hapo unatengeneza tangazo la gazeti.

kwanza jitahidi ujue vitu basic vya editing kama kucrop, kuresize, kuchange backround, blending, na vyengine muhimu

tafuta software kama adobe photoshop google tutorial kwa beginer, kama una net nzur download video tutorial kama huna tafuta tutorial ya maneno

always kumbuka hakuna shortcut ya elimu
 
mtafute jamaa humu anaitwa javascript atakuelewesha mambo ya software zinazohusika, pili fata ushauri wa chief mkwawa, tatu anza kutumia ms publisher kwanza kufanyia mazoezi kwa kuiga matangazo ya watu wengine kabla ujaanza kutumia software zinazohusika zaidi, ili ujue technique wanazotumia, huo utakuwa mwanzo mzuri kabla ujaanza kubuni design zako mwenyewe.
 
ushauri nlokua nautaka ndo kama huo..what sofware or programs to use na basics nyingine..thaanx nadownload hizo tutorials nijifunze taratibu taratibu
 
aksante kwa ushauri mkuu..ntafanya hivo
 
mkuu kwa picha zisizotembea i mean magazeti photoshop adobe inatosha. kama una mkwanja wa kutosha kainunue kama huna search humu maelezo jinsi ya kuipata na namna ya kucrack.

kwa internet matangazo mazuri ni yale ya picha zinazotembea wengi hutumia flash na software nzuri ni adobe flash proffesional. ila siku za karibuni naona watu wanashift kutoka flash kwenda html 5

kwenye tv ni video sasa fata ushauri wa jamaa hapo juu au pia kuna software kama after effect ambazo unaweza toa effect za ukweli
 
mkuu kwa picha
zisizotembea i mean magazeti photoshop adobe inatosha. kama una mkwanja
wa kutosha kainunue kama huna search humu maelezo jinsi ya kuipata na
namna ya kucrack.

kwa internet matangazo mazuri ni yale ya picha zinazotembea wengi
hutumia flash na software nzuri ni adobe flash proffesional. ila siku za
karibuni naona watu wanashift kutoka flash kwenda html 5

kwenye tv ni video sasa fata ushauri wa jamaa hapo juu au pia kuna
software kama after effect ambazo unaweza toa effect za ukweli

aksante sana mkuu..kwa kuanzia inatosha..meanza kufanyia hayo mawazo kazi...nikikwama ntauliza tena..be blessed
 
Back
Top Bottom