Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,036
salaam wakuu. nahitaji msaada nini nifanye ili pc yangu iweze kutunza moto. modeli ya pc husika ni lenovo thinkpad L412
Leo ni siku ya nne najaribu kuichaji inagoma. iniandikia ujumbe huu, "pluged in, not charging"
lakini pia natafuta screen ya pc yangu hii.
Leo ni siku ya nne najaribu kuichaji inagoma. iniandikia ujumbe huu, "pluged in, not charging"
lakini pia natafuta screen ya pc yangu hii.