macho yangu
Member
- Apr 5, 2017
- 51
- 26
Wakuu mliobobea katika technolojia naombeni mnisaidie nilikuwa naangalia tv ghafla picha ikapotea nikawa nasikia sauti tu, mwisho ikakata na sauti nimeangalia moto {power} inaingiza tatizo linaweza kuwa ni nini maana hakuna kinachoonekana saa hizi hata ukibonyeza "menu" kabla sijapeleka kwa fundi. Pia fundi ninayeweza kumuona ana kwa ana eneo lake la kazi mimi nipo Kijitonyama.