Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,732
Subiri tu kufungiwa na TCRA siku chache zijazo...
Imei za nyuma ya simu zinaitambua simu kuwa ni originalSubiri tu kufungiwa na TCRA siku chache zijazo...
Hapo sasa mtihani kutambua mtk version no ipiNi mtk version ipi. mfano mt6735, mt6572 nk
Model: Tecno y2Ni mtk version ipi. mfano mt6735, mt6572 nk
Nimekupa mfano wa hardware type ambayo kwa mediatek zinaanza na mtxxxx, tumia hata cpu-z kuangalia.Model: Tecno y2
Android version: 4.4.4
Baseband version: Moly.wr8.w1315.MD.WG.MP.V36.P1.2015/08/06 17:26
Kernel version: 3.4.67
Build number: Y2-H721-A2-KK-20121202
Nimeangalia google simu yako ina mt6572.Hapo sasa mtihani kutambua mtk version no ipi
Sawa mkuu
Unaweza kui unroot irudi kuw android tumia kingo rootWakuu, nilii root simu yangu na kui upgrade kutoka 4.4.2 kwenda 4.4.4 tangu nimeibadili imekuwa na tatizo LA kuchagua baadhi ya laini na kuandika invalid imei. Baadhi ya laini siwezi kupiga wala kutuma SMS isipokuwa kuchat internet tu. Nimejaribu kurestore tatizo liko palepale. Mwenye utaalamu wa hili tatizo anisaidie wakuu.
Ngoja nijaribuUnaweza kui unroot irudi kuw android tumia kingo root