Msaada wapi simu lg gx 200 zinauzwa

Natafuta simu aina ya LG GX. 200 anayejua zinakouzwa Mimi nipo DSM

dah! usinikumbushe mwana yani hiyo simu leo hii my mother in low wamemchapa. any way kama unaweza kufika mtaa wa lumumba na agray opposite na ilipokuwa chalinze auto spare parts utazipata hapo mkuu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom