Amoblazing
Member
- Jul 26, 2012
- 18
- 25
Tunapatikana Dar es salaam, tupo Pugu. Ya Row 3 inabeba kuku 96 na cage ya Row 4 inabeba kuku 160. Zinadumu kwa miaka 15 bila kupata kutu. The L is 2m, span 2.6m, H 2.2m
Nitumie picha zake.0625798455Mkuu nauza hizo cage kwa bei nafuu sana. Ya Rows 3 ni Tshs 850,000 na ya Rows 4 ni Tshs 1,000,000 per cage.
Cages zina ubora wa hali ya juu sana. Nipigie kwenye number yangu 0658-300982.