Msaada: Wapi pa kupata cage za kufugia kuku wa mayai?

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,302
Habari watu wa jamii forums, katika kuperuzi mitandao nikaona kwenye mtandao wa youtube ufugaji wa kuku wa kisasa kwa kuwaweka kwenye cage, yaani ufugaji huu ni wa ufanisi wa juu kweli.

Hata kuku hawaezi kutapanya chakula wala kula mayai, nataka nijaribu kufanya lakini sijui hizi cage wanaziuza wapi, zinaitwa layer cages kwa anayejua naomba msaada, au mniambie maduka makubwa ya pembejeo za ufugaji wa kuku.

Shukrani.
 
habari watu wa jamii forums, katika kuperuzi mitandao nikaona kwenye mtandao wa youtube ufugaji wa kuku wa kisasa kwa kuwaweka kwenye cage, yaani ufugaji huu ni wa ufanisi wa juu kweli,hata kuku hawaezi kutapanya chakula wala kula mayai, nataka nijaribu kufanya lakini sijui hizi cage wanaziuza wapi, zinaitwa layer cages kwa anayejua naomba msaada, au mniambie maduka makubwa ya pembejeo za ufugaji wa kuku....shukrani

morogoro kuna watu wanazitengeneza
 
Dar Zipo Maeneo ya Victoria ukipanda na njia ya kuelekea kwa Keruki Hospital. Kutoka kituo cha Daladala Kuelekea Hospital Mkono wa kulia kuna ofc utaona kwenye display. Wanaitwa green.
 
Kairuki hospital
 
Nipo arusha, kwenye maonesho ya nane nane. Among the products they display ni battery cage. So hebu google hiyo kampuni.
 
shukrani mkuu
 
Nipo arusha, kwenye maonesho ya nane nane. Among the products they display ni battery cage. So hebu google hiyo kampuni.

ni google kampuni gani? maana hujamention kampuni yoyote halafu nashukuru kwa kunipa jina lake nilikua sijui zinaitwa battery cage
 
Nipo arusha, kwenye maonesho ya nane nane. Among the products they display ni battery cage. So hebu google hiyo kampuni.

ok,ok,ok nimekusoma unamaanisha hiyo balton ltd, nimei google nimeona ipo dar, nimepanga kwenda kuicheki
 
kuapata zenye ubora mzuri ni ghali. ni vizuri ukapata watengenezaji wakakutengenezea na material ambayo ni ya kudumu na bora. Zingatia.
 
Habari watu wa jamii forums, katika kuperuzi mitandao nikaona kwenye mtandao wa youtube ufugaji wa kuku wa kisasa kwa kuwaweka kwenye cage, yaani ufugaji huu ni wa ufanisi wa juu kweli.

Hata kuku hawaezi kutapanya chakula wala kula mayai, nataka nijaribu kufanya lakini sijui hizi cage wanaziuza wapi, zinaitwa layer cages kwa anayejua naomba msaada, au mniambie maduka makubwa ya pembejeo za ufugaji wa kuku.

Shukrani.

Hizi kiongozi zinatengenezwa tu kufuatia design unayoitaka. Tafuta mafundi tu wenye mashine za kuchomelea unawatafutia wire mesh zenye matundu madogo madogo! Pale pa kutagia unatengeneza ki-slope kidogo ili kuku akitaga yai linaserereka kuelekea mahali pa kukusanyia! Kama uko Morogoro, nenda ukaibe utaalam pale SUA-DASP!!
 
thanks
 
Mkuu nauza hizo cage kwa bei nafuu sana. Ya Rows 3 ni Tshs 850,000 na ya Rows 4 ni Tshs 1,000,000 per cage.
Cages zina ubora wa hali ya juu sana. Nipigie kwenye number yangu 0658-300982.
 
Mkuu hii ya rows 3 ina urefu gani na inabeba kuku wangapi..pia ya row 4 ina uwezo gani. DM me sample cage pls
 
Mkuu nauza hizo cage kwa bei nafuu sana. Ya Rows 3 ni Tshs 850,000 na ya Rows 4 ni Tshs 1,000,000 per cage.
Cages zina ubora wa hali ya juu sana. Nipigie kwenye number yangu 0658-300982.

Hongera kwa kuwa mbunifu mkuu, unapatikana wapi? (Mkoa gani) . Ingesaidia sana kujua urefu wake au idadi ya kuku. Pia kapicha kangetia uzito zaidi. Shukrani mkuu.
 
Back
Top Bottom