Msaada wapi nitapata pumba za mpunga Dar es salaam. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wapi nitapata pumba za mpunga Dar es salaam.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Aug 3, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakuu naombeni msaada wenu wapi nitapata pumba za mpunga kwa wingi hapa dar. Tafadhali kama unafahamu na gharama zake utakuwa umenisaidia sana. Asanteni
   
 2. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Pumba kwa kawaida inapatikana mashine za kukoboa mpunga na hizi sana zipo mikoani mfano morogoro mjini. Wafanya biashara wanakoboa mpunga mikowani na kusafirisha mchele Dar kwa hivo upatikanaji wa pumba Dar utakuwa mdogo. Haya mawazo yangu tu,
   
 3. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kurasini unahitaji kiasi gani?. Call 0752210724
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  zinatumika kwenye nini?
   
 5. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Asante sana nitakupigia simu mkuu.
  <br />
  <br />
   
 6. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nataka kwa ajili ya kuchomea tofali ambazo nitazitengeneza kwa kutumia clay soil. Shambani kwangu nimepata bahati ya kuwa na vichuguu vikubwa viwili, so sioni haja ya kuhangaika na cement zilizo ghali kutengeneza tofali za cement.
  Red clay bricks ni imara na zinapendeza sana, hudumu hadi kwa 50 yrs.
  <br />
  <br />
   
Loading...