Kasomeko JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 627 Reaction score 1,215 Mar 13, 2019 #1 Habari zenu wakuu!!. Nahitaji kofia za ukili, kwa anaejua zinakopatikana naomba anielekeze. Nahitaji kwa bei ya jumla kama kofia 50. Nipo geita mjini. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu!!. Nahitaji kofia za ukili, kwa anaejua zinakopatikana naomba anielekeze. Nahitaji kwa bei ya jumla kama kofia 50. Nipo geita mjini. Sent using Jamii Forums mobile app
Kasomeko JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 627 Reaction score 1,215 Mar 13, 2019 Thread starter #2 Kasomeko said: Habari zenu wakuu!!. Nahitaji kofia za ukili, kwa anaejua zinakopatikana naomba anielekeze. Nahitaji kwa bei ya jumla kama kofia 50. Nipo geita mjini. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kama hii Sent using Jamii Forums mobile app
Kasomeko said: Habari zenu wakuu!!. Nahitaji kofia za ukili, kwa anaejua zinakopatikana naomba anielekeze. Nahitaji kwa bei ya jumla kama kofia 50. Nipo geita mjini. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kama hii Sent using Jamii Forums mobile app
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,877 Mar 13, 2019 #3 weka picha staili unayotaka, maana huwa kuna mpaka kuuubwa sana kuzuia jua na staili mbalimbali Sent using Jamii Forums mobile app
weka picha staili unayotaka, maana huwa kuna mpaka kuuubwa sana kuzuia jua na staili mbalimbali Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,081 Reaction score 127,787 Mar 13, 2019 #4 Kasomeko said: Kama hiiView attachment 1045084 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli hiki ni kikapu, sio kofia
Kasomeko said: Kama hiiView attachment 1045084 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli hiki ni kikapu, sio kofia
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Mar 13, 2019 #5 Kasomeko said: Habari zenu wakuu!!. Nahitaji kofia za ukili, kwa anaejua zinakopatikana naomba anielekeze. Nahitaji kwa bei ya jumla kama kofia 50. Nipo geita mjini. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nilipita na treni pale Saranda Singida. Kofia kama hiyo ni sh 1000....elfu 1 tu. Na kuna kila size. Na ukinunua zaidi ya 3 unanunua kwa 700 au 600. Agiza watu wanaotoka Singida. Zipo nyingi sana. Ungeniwahi ningekubebea.
Kasomeko said: Habari zenu wakuu!!. Nahitaji kofia za ukili, kwa anaejua zinakopatikana naomba anielekeze. Nahitaji kwa bei ya jumla kama kofia 50. Nipo geita mjini. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nilipita na treni pale Saranda Singida. Kofia kama hiyo ni sh 1000....elfu 1 tu. Na kuna kila size. Na ukinunua zaidi ya 3 unanunua kwa 700 au 600. Agiza watu wanaotoka Singida. Zipo nyingi sana. Ungeniwahi ningekubebea.
Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 8,288 Reaction score 18,579 Mar 13, 2019 #6 Kasomeko said: Kama hiiView attachment 1045084 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyu dogo chenga sanaπππππππ
Kasomeko said: Kama hiiView attachment 1045084 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyu dogo chenga sanaπππππππ