Zemu JF-Expert Member Jun 5, 2008 518 80 Feb 23, 2012 #1 Wana JF niko mbali na Dar, bahati mbya simu yangu imesumbua mkanda(samsung SGH A797) na omba nipate simu ya fundi hapo town dar niweze kumuuliza kma atanipatia spea.Natanguliza shukrani zangu kwa wanaJF wote.
Wana JF niko mbali na Dar, bahati mbya simu yangu imesumbua mkanda(samsung SGH A797) na omba nipate simu ya fundi hapo town dar niweze kumuuliza kma atanipatia spea.Natanguliza shukrani zangu kwa wanaJF wote.
mkwatis JF-Expert Member Nov 2, 2008 350 171 Feb 24, 2012 #2 @Zemu Unaweza ukamuuliza fundi huyu kwa pm! ref:https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ck-simu-aina-ya-huawei-c2281.html#post3378350
@Zemu Unaweza ukamuuliza fundi huyu kwa pm! ref:https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ck-simu-aina-ya-huawei-c2281.html#post3378350