Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimedesign elelctronic circuit sasa nataka niiprint kwenye PCB ila sifahamu wapi naweza kupata hii huduma hapa Dar.Asanteni wadau
Una milioni hamsini? We usidhani haka ni kama kale ka printer cha stationary. By the way, sio lazima uiprint kwenye circuit board. Unaweza ukatumia nyaya za kawida sema circuit yako itaishia kuwa kubwa kweli kweli... So far, hongera kwa ugunduzi...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimedesign elelctronic circuit sasa nataka niiprint kwenye PCB ila sifahamu wapi naweza kupata hii huduma hapa Dar.Asanteni wadau