fundinaizer JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 1,850 Reaction score 2,979 May 17, 2020 #1 Habari wakuu! naomba mwenye kujua hizi cable zinauzwa wapi mji wa Dodoma pia duka lipi kama ataweza nipa uelekeo . Nb: Cable tu za kuunga External hdd na pc, itapendeza kama ukiwekamo kabei(ikiwa unajua) ili nijipange. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu! naomba mwenye kujua hizi cable zinauzwa wapi mji wa Dodoma pia duka lipi kama ataweza nipa uelekeo . Nb: Cable tu za kuunga External hdd na pc, itapendeza kama ukiwekamo kabei(ikiwa unajua) ili nijipange. Sent using Jamii Forums mobile app
MWEMBEKIUNO JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 1,877 Reaction score 2,531 May 17, 2020 #2 Barabara ya 6 pale kachek ukikosa nenda pale kona ya double M au pale karibu na mgahawa wa chief asili naamini utapata. Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara ya 6 pale kachek ukikosa nenda pale kona ya double M au pale karibu na mgahawa wa chief asili naamini utapata. Sent using Jamii Forums mobile app
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,736 Reaction score 6,638 May 17, 2020 #3 Kwa nini usinunue tu external case ya hiyo harddisc? Sent using Jamii Forums mobile app
fundinaizer JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 1,850 Reaction score 2,979 May 17, 2020 Thread starter #4 MWEMBEKIUNO said: Barabara ya 6 pale kachek ukikosa nenda pale kona ya double M au pale karibu na mgahawa wa chief asili naamini utapata. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa chief ntaenda hio mitaa. Sent using Jamii Forums mobile app
MWEMBEKIUNO said: Barabara ya 6 pale kachek ukikosa nenda pale kona ya double M au pale karibu na mgahawa wa chief asili naamini utapata. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa chief ntaenda hio mitaa. Sent using Jamii Forums mobile app
fundinaizer JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 1,850 Reaction score 2,979 May 17, 2020 Thread starter #5 Jephta2003 said: Kwa nini usinunue tu external case ya hiyo harddisc? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inaweza kua bei gani mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Jephta2003 said: Kwa nini usinunue tu external case ya hiyo harddisc? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inaweza kua bei gani mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
B Benhorta Senior Member Joined May 8, 2016 Posts 176 Reaction score 485 May 17, 2020 #6 fundinaizer said: Inaweza kua bei gani mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... External HDD Case,Ni kati ya 15-25k sema kwa Dodoma vitu bei wanaweza kukuzia 25-35k
fundinaizer said: Inaweza kua bei gani mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... External HDD Case,Ni kati ya 15-25k sema kwa Dodoma vitu bei wanaweza kukuzia 25-35k
fundinaizer JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 1,850 Reaction score 2,979 May 17, 2020 Thread starter #7 Benhorta said: External HDD Case,Ni kati ya 15-25k sema kwa Dodoma vitu bei wanaweza kukuzia 25-35k Click to expand... Asante chief kwa kunipa mwanzo mzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
Benhorta said: External HDD Case,Ni kati ya 15-25k sema kwa Dodoma vitu bei wanaweza kukuzia 25-35k Click to expand... Asante chief kwa kunipa mwanzo mzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,286 Reaction score 75,935 May 17, 2020 #8 Benhorta said: External HDD Case,Ni kati ya 15-25k sema kwa Dodoma vitu bei wanaweza kukuzia 25-35k Click to expand... Bei Hiyo Umetaja Ndogo, Dodoma Mpaka Sasa Hivi Vitu Vipo Juu Sana
Benhorta said: External HDD Case,Ni kati ya 15-25k sema kwa Dodoma vitu bei wanaweza kukuzia 25-35k Click to expand... Bei Hiyo Umetaja Ndogo, Dodoma Mpaka Sasa Hivi Vitu Vipo Juu Sana