nenda chuo cha mbegani bagamoyo au SUA morogoro unaweza kupata vifaranga kwa bei nafuu tofauti na mawakala binafsiHabari za mihangaiko ndugu zangu.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu kwenye kajishamba changu ninavibwawa viwili nahitaji kuweka samaki, moja niweke kambale na jingine niweke sato, hivyo naomba kupata taharifa ya wapi nitapata vifaranga na bei zake, mimi nipo Dar but shamba lipo Rufiji.
Asanteni na mwenyezi Mungu awabariki.
bei ya vifaranga kwa mwanza inakuaje mdauAu kama waweza njoo uchukue mwanza
700bei ya vifaranga kwa mwanza inakuaje mdau
Kuvuna baada ya miezi mingapiMimi ni mzalishaji wa vifaranga vya kambale hapa Mwanza. Huwa ninasafirisha vifaranga hivi hadi dar. Bei ni 300 haishuki. Lakini garama za kukuletea unalipa. Na order ya kuleta uko ni kuanzia vifaranga 5000. Vifaranga vyangu hukua haraka sana na hta ukihitaji naweza kukuelekeza kwa baazi ya wafugaji waliopo dar uweze kuona maendeleo yao. 0759741303