Msaada wapi naweza kupata betri ya Nokia Lumia 900

Utotole

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,608
Reaction score
4,265
Wana Forum naombeni msaada wenu.

Nilipata kununua simu ya Nokia Lumia 900 online ughaibuni na miongoni mwa vitu ambavyo sikuwa nimeviangalia sana ni betri yake. Simu hii inatumia betri wanayoita non-removable, japo inaweza kuondolewa baada ya kufungua ndani kabisa na huko ndani imeunganishwa kwa cable kama zile zinazounganisha parts za laptop...

Sasa betri imekwisha nguvu na nahitaji kuibadili. Tatizo ni kwamba kutokana na upekee wake, nashindwa kuipata katika maduka ya kawaida ya simu na vifaa vyake.

Je kuna mtu yeyote anafahamu wapi lipo duka linaloshughulika na simu za Nokia Lumia nchi hii kwa sasa? Nikijua hilo labda naweza kupata ufumbuzi.

Asanteni
 
IM
 
umefika Benson & company ukakosa?
 
nina nokia lumia 900 locked at&t imetumika marekani unaweza itumia kama spea ukatoa betri au ukaitumia kama kawaida uki unlock.
 
M nashida na baadhi ya spare part ya hio Lumia 900, mkuu naomba tuwasiliane 0755680562
 
Back
Top Bottom