Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,392 Jul 4, 2019 #41 wakurochi said: Hallo Cheif naingiaje netflix naishia youtube tu Click to expand... Ipo store, una uhakika tv yako Ina Roku?
wakurochi said: Hallo Cheif naingiaje netflix naishia youtube tu Click to expand... Ipo store, una uhakika tv yako Ina Roku?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,392 Jul 4, 2019 #42 Giancarlo said: Mkuu hebu naomba maelezo ya hyo keyboard ambayo unaweza ukatumia kwenye smart tv,je ni wireless? Na inapatikana wap maana ukitumia keyboard kwa kutumia remote ya tv vidole mpaka vinauma dadeq[emoji23] Click to expand... Aura mall niliziona za kichina 30,000 za Bluetooth. Ila nafkiri Hata za wifi zitafanya kazi (hizi zinapatikana kirahisi) zinakuwa na ki USB kidogo Cha kuchomeka.
Giancarlo said: Mkuu hebu naomba maelezo ya hyo keyboard ambayo unaweza ukatumia kwenye smart tv,je ni wireless? Na inapatikana wap maana ukitumia keyboard kwa kutumia remote ya tv vidole mpaka vinauma dadeq[emoji23] Click to expand... Aura mall niliziona za kichina 30,000 za Bluetooth. Ila nafkiri Hata za wifi zitafanya kazi (hizi zinapatikana kirahisi) zinakuwa na ki USB kidogo Cha kuchomeka.
W wakurochi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,647 Reaction score 2,958 Jul 4, 2019 #43 Chief-Mkwawa said: Ipo store, una uhakika tv yako Ina Roku? Click to expand... TV TCL Haina. Nikichofanya nina ROKU ya nje nachomeka kwenye HDM1, halafu nafanya setup ya chromecast inakubali kuona youtube toka kwenye simu.
Chief-Mkwawa said: Ipo store, una uhakika tv yako Ina Roku? Click to expand... TV TCL Haina. Nikichofanya nina ROKU ya nje nachomeka kwenye HDM1, halafu nafanya setup ya chromecast inakubali kuona youtube toka kwenye simu.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,392 Jul 4, 2019 #44 wakurochi said: TV TCL Haina. Nikichofanya nina ROKU ya nje nachomeka kwenye HDM1, halafu nafanya setup ya chromecast inakubali kuona youtube toka kwenye simu. Click to expand... Store umecheki hakuna Netflix? Ina rangi ya purple Kila sehemu hio Roku? Na ninavyofahamu Roku ni kitu chengine na Chromecast ni kitu chengine.
wakurochi said: TV TCL Haina. Nikichofanya nina ROKU ya nje nachomeka kwenye HDM1, halafu nafanya setup ya chromecast inakubali kuona youtube toka kwenye simu. Click to expand... Store umecheki hakuna Netflix? Ina rangi ya purple Kila sehemu hio Roku? Na ninavyofahamu Roku ni kitu chengine na Chromecast ni kitu chengine.
W wakurochi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,647 Reaction score 2,958 Jul 4, 2019 #45 OK nitacheki asante kwa ku share utalaam Chief-Mkwawa said: Store umecheki hakuna Netflix? Ina rangi ya purple Kila sehemu hio Roku? Na ninavyofahamu Roku ni kitu chengine na Chromecast ni kitu chengine. Click to expand...
OK nitacheki asante kwa ku share utalaam Chief-Mkwawa said: Store umecheki hakuna Netflix? Ina rangi ya purple Kila sehemu hio Roku? Na ninavyofahamu Roku ni kitu chengine na Chromecast ni kitu chengine. Click to expand...
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,893 Reaction score 7,050 Apr 11, 2025 #46 Chief-Mkwawa said: Kama unaagizishia online subiria tarehe 18 mwezi huu. $20 roku express black friday deals. Hata mimi naikubali sana Roku as os. Click to expand... Tcl 32 Roku zipo za fhd au ni hd pekee maana Kuna mtu anauza yupo mkoani huko anadai ni full hd Vp naweza ichukua au
Chief-Mkwawa said: Kama unaagizishia online subiria tarehe 18 mwezi huu. $20 roku express black friday deals. Hata mimi naikubali sana Roku as os. Click to expand... Tcl 32 Roku zipo za fhd au ni hd pekee maana Kuna mtu anauza yupo mkoani huko anadai ni full hd Vp naweza ichukua au
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,392 Apr 11, 2025 #47 Smart Guy said: Tcl 32 Roku zipo za fhd au ni hd pekee maana Kuna mtu anauza yupo mkoani huko anadai ni full hd Vp naweza ichukua au Click to expand... Muulize model mkuu, watu wengi mtaani hawajui tofauti ya Full HD na HD
Smart Guy said: Tcl 32 Roku zipo za fhd au ni hd pekee maana Kuna mtu anauza yupo mkoani huko anadai ni full hd Vp naweza ichukua au Click to expand... Muulize model mkuu, watu wengi mtaani hawajui tofauti ya Full HD na HD