Msaada wapendwa

Msaada wapendwa

raphaelpol

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
207
Reaction score
132
Nataka kudowload app ya instagram, lkn kila nikijribu inaniletea huo ujumbe kama unavyoonekana kwenye attachment hapa chini, lkn siyo instagram tu hata fb na hata ku updated chrome nayo inagoma. Nisaidieni wataalamu kwenye hayo maeneo tafadharini.
Screenshot_2018-01-27-11-13-40.png
Screenshot_2018-01-27-11-13-40.png
 
Back
Top Bottom