ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Maisha yangu yamo hatarini kuna mtu yupo juu ya paa amevaa sura ya ngedere..naogopa kutoka nje nikaripoti serikali ya mtaa.ni Mungu tu ananilinda hapa.
Subiri tu kuche niitishe peresi konferensi ndiyo nitatoa mapichapicha yangu.Mkamate umpige picha uirushe humu
Pole mkuu..weka picha tuone
sawaaSubiri tu kuche niitishe peresi konferensi ndiyo nitatoa mapichapicha yangu.