Msaada wapendwa, naomba ufafanuzi wa kifaa hiki

Denis Yustad

Member
Mar 16, 2020
10
1
Kwa wale mnaojua ufundi wa wa magari na wenye aidia na mambo ya ufundi.

Hivi Steering Rack ikiisha anza kuvuja, inaweza kutengenezwa? Au ndo inakuwa tayari imeharibika ni kuitoa na kuweka mpya?

download.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikivujisha INA maana kuna seal zimeharibika, cha kufanya ni kuzitoa seal zilizoharibika na kuweka nyingine. Pia ni lazima uhakikishe shaft haina michirizi itayosababisha kuvuja.

Changamoto ni ubora wa seal zilizopo madukani, huwa hazidumu saana!
Kwa wale mnaojua ufundi wa wa magari na wenye aidia na mambo ya ufundi.

Hivi Steering Rack ikiisha anza kuvuja, inaweza kutengenezwa? Au ndo inakuwa tayari imeharibika ni kuitoa na kuweka mpya?View attachment 1402745

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom