Msaada wapendwa kwa hili

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
habari zenu wakuu wa humu ndani
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye free software ya kurecover picha ambazo zinaandika INVALID IMAGE maana picha zangu nyingi zimeandika invalid image sasa kila nikidownload software nyingi za kurecover zinataka nilipie,mwenye kufahamu free software anisaidie
 
Nakushauri ulipie kama software hiyo unaiweka kwenye simu ili ufanikiwe wether kuna mawili ulipie mafunzo ili hapo unapoambiwa ulipie nikuelekeze for free maana nina application nishamsaidua jmn mmoja naimani alifanikiwa vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…