Msaada: Waombaji mikopo bila kutoa kivuli

Msaada: Waombaji mikopo bila kutoa kivuli

makarangio

Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Msaada kwa wale wenye ujuzi na maswala ya mikopo ya elimu ya juu, je kwa waombaji ambao wametuma fomu bila kutoa vivuli, watafanyaje pindi wakikosa mikopo kupata ushahidi kwamba waliomba?
 
Back
Top Bottom