Msaada wandugu

zethumb

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
610
137
Jamani naomba kwa wanaojua, mambo yamekwiva kuelekea vyuoni na mkopo huo wamegawa, lakini sisi wengine wa DIPLOMA ndo hivyo... CHECKING IN PROGRESS...ndo tumetoswa au bado tunashuglikiwa?
Nawasilisha.
 
Bado mnashughulikiwa ondoeni shaka muda ukifika mtajua hatma yenu
 
Back
Top Bottom