MSAADA WANDUGU

G.25

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
1,730
1,868
Nina rafikiangu ambae anamtafuta baba take mzazi ambaye hajawai kumuona, Baba anaetafutwa jina lake anaitwa HAMADI IDI MFAUME ni mrangi kwakabila, kwa Maelezo ya awali huyu MTU inasemekana huwa anapatikana namanga boda, kwamba ni ofisa uhamiaji pale, kwa Mara ya mwisho alikutana na mamaake mzazi akamweleza kuwa inasemekana kuna ndugu Wa babaake ambaye anafanya kazi lugalo in mwanajeshi, anaitwa HALIDI IDDI MFAUME kwa yeyote ambae anweza kuwafahamu watu Hawa ambao ndio baba zake anaomba tumsaidie mamba zake ni 0658451262 anaitwa OMARI HAMADI IDDI MFAUME "
 
Angeenda huko Namanga ama Lugalo nadhani ingekuwa mwanzo mzuri Hata kama walihama anaweza kupata muongozo
 
Back
Top Bottom