Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Samahani Wandugu naombeni Key Product key za Window 7 Professional,Machine yangu inanisumbua, inashindwa kufanya kazi kiufanisi na inaniambia Windows is not genuine, imeniandikia haya maneno upande wa kushoto "Windows 7 Build 7600, This copy of Windows is not genuine"
Tafadhali Msaada ndugu zanguni.
Tafadhali Msaada ndugu zanguni.