Msaada wandugu: Hii simu naweza kuipata wapi??

mimi hiyo simu naikubal sana....ni kumbwa kimtindo.....
 
nasikia zinakaa sana na chaji..
Hilo ni ttz. Hapo ukute umepanga chumba kimoja uswahilini, wewe hauna mke na huyo ni mtoto wa mwenye nyumba.
Hapo amekuona umetoka na ndoo unaenda kuoga.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
DuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuH KWELI MUNGU FUNDIIIIIIIIIIIII
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…