Msaada wanasayansi na madaktari tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wanasayansi na madaktari tafadhari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyange, Mar 30, 2011.

 1. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,185
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Msaada wanasayansi na madaktari tafadhari;

  Kuna ukweli kwamba msichana akipita umri wa kuolewa,(zaidi ya miaka 33) husumbuliwa na maradhi ya mara kwa mara yasiyotibika? safari za kwenda hospitali huongezeka au huwa ni tatizo la kisaikologia la kukosa mwenza? wakati mwingine wengi wao wako kwenye NGOs za kudai haki za akina mama, na kuwatibulia walio fanikiwa kujenga familia zao.
   
Loading...