'Msaada: Wananchi Wenye HASIRA KALI", nitawapata wapi hawa watu?

'Msaada: Wananchi Wenye HASIRA KALI", nitawapata wapi hawa watu?

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,932
Reaction score
30,045
Hawa utawaona ukimkwapua mdada pochi yake halafu akauita mwizi
 
unawapata hapohapo kwenye hayo matukio uliyoyataja! mbili ukitaka kuwapata basi "thubutu kukutwa........"
 
unawapata hapohapo kwenye hayo matukio uliyoyataja! mbili ukitaka kuwapata basi "thubutu kukutwa........"
 
mkuu hao wako wengi tu!! tena siku hizi zinaitwa "MAHAKAMA JAMII" zinatoa hukumu shirikishi.Huna haja ya kutafuta wakili. Hi ni sawa na POLISI JAMII na ulinzi shirikishi!!
 
Siwaungi mkono hawa jamaa wenye hasira kali.
Iweje mtu ahukumiwe bila kusikilizwa?
 
Siwaungi mkono hawa jamaa wenye hasira kali.
Iweje mtu ahukumiwe bila kusikilizwa?

Mkuu kuna wengine ukiwapa nafasi ya kuwasikiliza,hukumu itakua on their favour, mfano Zombe v/s wafanyabiashara wa madini waliouliwa, Chenge v/s wadada wa bajaji waliogongwa na kupoteza maisha, mi naona heri WAPIGWE TU.
 
Wacha utani bana! 'Wananchi wenye hasira kali' ni kikundi cha watu wanaotumia instnct zao tu. Hawatumii ubongo kufikiria. Kama unawatafuta wapo kila mahali penye kijiwe cha vijana. kuwaona wanavyofanya kazi, ongozana na mtoto wako. Ukikuta hicho kijiwe mwambie mwanao akimbie kuelekea kokote, kisha wewe sema neno moja tu; Mwiziiii. Waendee wanaomkimbiza mwanao uwaambie: 'Acheni! Acheni! Ninataka kuwapa deal la tofauti. Watatulia na kukusikiliza! Best of luck mkuu!
 
Naamini hata wewe mleta uzi ni mmoja kati yao sema tu hayajakukuta
 
Mimi ni mmoja wa wananchi wenye hasira kali,tuwasiliane mkuu

Ahaa,

Kuna jamaa fulani siwaelewi elewi. Wao kazi yao kula bata tu maofisini na kuvimbisha matumbo yao kwa 10% za mikataba wakati watoto wa masikini wanarudishwa Nyumbani kwa kukosa alfu 2.

Tembo wanauliwa ili watu washinde Bar,
Tembo wanauliwa watu wamiliki mademu wazuri,
Tembo wanauliwa ili watu waporomoshe maghorofa,
Tembo wanauliwa ili watu wasukume Mikoko ya Maana, tena zile zinazowakaga taa mchana,
Tembo wanauliwa ili watoto wao wasome nje ya nchi.

Hawauliwi ili kukarabati shule za kata,
Hawauliwi ili kuongeza dawa hospitalini,

Kweli nawatafuta hawa "Wananchi wenye Hasira Kali "
 
Nawahitaji wakanikamatie Mbowe,maana tumetoa taarifa polisi kuwa wanajikopesha ruzuku,na wakipewa fedha na wahisani wanazileta katika chama kama mkopo,naomba wanafanyie kazi
 
Mkuu kuna wengine ukiwapa nafasi ya kuwasikiliza,hukumu itakua on their favour, mfano Zombe v/s wafanyabiashara wa madini waliouliwa, Chenge v/s wadada wa bajaji waliogongwa na kupoteza maisha, mi naona heri WAPIGWE TU.

...ZZK v/s CDM
 
Siwaungi mkono hawa jamaa wenye hasira kali.
Iweje mtu ahukumiwe bila kusikilizwa?

Mkuu haujakutwa na dhahama nini nawe kukawa mwananchi mwenye hasira kali
 
Nenda na gari singida ugonge watakujia fasta.
 
Back
Top Bottom