Ndani yá masaa 24 hrs Kwa kutumia vifaa vikubwa maarufu kama POLYMERASE CHAIN REACTION (PCR) ni accurate San Kwa Tanzania muhimbili na KCMC vipo. Na nahis sio bure but kuna vile vya wenzangu na mie tusubil virus wawe detected Afu mwili utengeneze antibodies za HIV possibly baada ya 3 months. Kwa kheri