Ni sehemu moja tu ndio kuna majibu ya uhakika napo ni bank ya damu Ilala dar na majibu huchukua hata wiki kuyapata.. Huko kwingine kote ni try n errorJe, muda gani ukipima maambukizi ya HIV utapata majibu ya uhakika maana wengine wanasema mara tatu yaan kila baada ya miez mitatu mpaka ifike mara tatu ndo unapata uhakika, NISAIDIENI DR.
Asanteh mkuuNdani yá masaa 24 hrs Kwa kutumia vifaa vikubwa maarufu kama POLYMERASE CHAIN REACTION (PCR) ni accurate San Kwa Tanzania muhimbili na KCMC vipo. Na nahis sio bure but kuna vile vya wenzangu na mie tusubil virus wawe detected Afu mwili utengeneze antibodies za HIV possibly baada ya 3 months. Kwa kheri