msaada wana mmu...

msaada wana mmu...

mjukuu.

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Nimependezwa kuleta jamvini swala hili nina jamaa yangu mtu wa karibu ambaye nayafahamu maisha yake kiujumla..

issue ni kwamba msela akimface dem at the first time huwa anampenda na kujipangia makubwa atakayofanya kwa huyo manzi..

ila jamaa akishapata mzigo mara ya kwanza hutosheka na hamu humwishia yakuendelea kuishi na huyo dem ka mpz wake badala yake humtengenezea visa na kumtema..

afu jamaa hupata bahati ya kupendwa...plz msaada hapo washauri..

nawasilisha.....
 
mbona hii topic unaianzisha mara mbilimbili ina umuhimu gani kiasi hicho?
 
Mwambie aache ngono na aache kuharibu wake watarajiwa wa wenzake atafute mmoja na afunge nae ndoa.
 
Sasa ushauri wa nini hapo?Kwani wewe akiwamwaga tatizo lako linakuwa wapi au wewe inakuuma hawa viumbe bila ahadi mambo hayaendi
 
Mwenye tatizo hajaomba msaada iweje wewe umsaidie??
 
Back
Top Bottom