msaada wana JF

msaada wana JF

kichenchele

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
539
Reaction score
177
ndugu zangu wana JF, naombeni mnifahamishe nini natakiwa kufanya ili niweze kupata mtaalamu wa kuandika michanganuo ya biashara, lengo langu ni kuweza kupata mkopo mkubwa niweze kufungua biashara au niwekeze ktk kilimo au biashara ya ufugaji, naombeni mnisaidie ushauri nifanye nini, maana nimejaribu kuhangaika ktk mabenki mengi naambiwa niwe na vitu vya kuweka bond na mimi ndo naanza sasa imeniwia vigumu sana na mimi nahitaji mtaji mkubwa
 
Back
Top Bottom